"Vijana nendeni mkalime acheni kubeti" huu msemo nitakuja kumvunja mtu shingo

Joined
Apr 12, 2022
Posts
32
Reaction score
25
Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi
kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa kidogo za kujikimu kwenye mahitaji ya Kila siku mfano bando, nauli, chakula nk....so tunaishi 👊👊

Kwa mfano kama mm kwenye harakati zangu nalipwa 200,000 kwa mwezi ni pesa ndogo sana huwa inaishia katikati ya mwezi kwa matumizi ya kifamilia
Binafsi huwa nikipata pesa yangu mwisho wa mwezi (200,000) nachomoa 100,000 nabeti na ninapata zaidi ya hiyo kama mambo yakiwa mabaya nalia tu
maisha yanasonga hivyo Yani, halafu unakuta huo mshahara huwezi kuweka akiba Ili ikusaidie kuanzisha kamradi Kako kakuingizie pesa Sasa itatoka wapi Hela kama sio kubeti tu??... natafuta odd 7 natia 100,000 napata mtaji 700,000 ikiliwa nalia
KWAHIYO NAOMBA WANAIBEZA HII ISHU WAACHE TUTAVUNJANA SHINGO
 
Usiache kubet hadi ikuue au kampuni zifungwe.
 
Asa we unasema mshara hautoshi hata kuweka akiba iyo unayo ibeti na kuliwa si do ungekua unaweka akiba
 
Endelea kubet usiache akili ikikukaa utaacha tu
Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi
kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa kidogo za kujikimu kwenye mahitaji ya Kila siku mfano bando, nauli, chakula nk....so tunaishi [emoji109][emoji109]

Kwa mfano kama mm kwenye harakati zangu nalipwa 200,000 kwa mwezi ni pesa ndogo sana huwa inaishia katikati ya mwezi kwa matumizi ya kifamilia
Binafsi huwa nikipata pesa yangu mwisho wa mwezi (200,000) nachomoa 100,000 nabeti na ninapata zaidi ya hiyo kama mambo yakiwa mabaya nalia tu
maisha yanasonga hivyo Yani, halafu unakuta huo mshahara huwezi kuweka akiba Ili ikusaidie kuanzisha kamradi Kako kakuingizie pesa Sasa itatoka wapi Hela kama sio kubeti tu??... natafuta odd 7 natia 100,000 napata mtaji 700,000 ikiliwa nalia
KWAHIYO NAOMBA WANAIBEZA HII ISHU WAACHE TUTAVUNJANA SHINGO
 
Niliibetia pesa ya kula na familia game ya tanzania na burundi

Aisee nikatia laki 2 nikajua taifa stars katoka kumfunga uganda 3-0 nikajua burundi analiwa tu daah

The rest was history nilipata kahoma kembambaaaaaaa
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom