bella girl
Member
- Sep 22, 2014
- 24
- 7
njooni tuanzishe kikundi cha kukopa na kuweka akiba kwa walio dar es salaam ni rahisi kuonana kwa sasa kikundi kuna watu watano kwa walio interested wani pm namba zao za cm wanazotumia whatsapp pia kwa wasio na whatsapp pm namba yako tuu tutafutane
Wazo murua kuanzia mwaka, ila sijaelewa unamaanisha kuanzisha vikoba itakayomilikiwa na wahusika, au kutengeneza kikundi kitakachokopeshwa na taasisi ya kifedha kama benki ya wanawake, finka n.k.
vikoba mkuu sisi wenyewe ndo tutakuwa wamiliki
vikoba mkuu sisi wenyewe ndo tutakuwa wamiliki