Vijana njooni tujikwamue kiuchumi

Vijana njooni tujikwamue kiuchumi

bella girl

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
24
Reaction score
7
njooni tuanzishe kikundi cha kukopa na kuweka akiba kwa walio dar es salaam ni rahisi kuonana kwa sasa kikundi kuna watu watano kwa walio interested wani pm namba zao za cm wanazotumia whatsapp pia kwa wasio na whatsapp pm namba yako tuu tutafutane
 
Wazo murua kuanzia mwaka, ila sijaelewa unamaanisha kuanzisha vikoba itakayomilikiwa na wahusika, au kutengeneza kikundi kitakachokopeshwa na taasisi ya kifedha kama benki ya wanawake, finka n.k.
 
Wazo murua kuanzia mwaka, ila sijaelewa unamaanisha kuanzisha vikoba itakayomilikiwa na wahusika, au kutengeneza kikundi kitakachokopeshwa na taasisi ya kifedha kama benki ya wanawake, finka n.k.

vikoba mkuu sisi wenyewe ndo tutakuwa wamiliki
 
vikoba mkuu sisi wenyewe ndo tutakuwa wamiliki

nimelipenda wazo, ni umri tu utanitenga na wazo kwani ni mzee kidogo; hivyo mtakapo anzisha nasi wazee tuje kujifunza huko.

Nami nahitaji kuanza kupiga kampeni kwa wazee wenzangu, kama hutojali unaweza kunipa dodoso chache zakuniongezea ushawishi kwao:-

kutofautisha Sakosi, vikoba, Kibati, na mifumo mingine ya fedha inayokaribiana nayo katika tofauti ya uzuri na ubaya baina yao na mwisho kwanini vikoba iwe chaguo la kwanza.

Shukran mkuu.
 
vikoba mkuu sisi wenyewe ndo tutakuwa wamiliki

Wazo zuri sana mkuu ila usiweke limit ya umri labda idadi ya watu maana naambiwa wakizidi 20 vicoba husumbua unless viwe vikundi vingi vya watu 15 - 20. Nami pia naomba unifikirie iwapo wazee kidogo tutaruhusiwa. Ofisi au sehemu ya kukutana hapa Dar itakuwa maeneo gani?
 
karibuni wakuu hasa fursa ni kwa wote hatuchagui umri wakuu ila tumekubaliana mwisho watu 15
 
Back
Top Bottom