Vijana poleni sana, kutongoza ni kazi ngumu sana kwa miaka hii

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Wazima wote? Natumaini ni wazima.

Kama kichwa kinavyojipambanua, wanawake kama siyo mabinti wengi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla wanaona fahari mwanaume kusumbuka kwa ajili yake hata kama ni 'for nothing'.

Mateso ya mvulana kwake binti ni 'pride', kutongoza si rahisi sana kama watu wanavyodanganyana mitandaoni, hasa kwa zama hizi za kileo.

Hapa sizungumzii kuwatongoza wanawake malaya (wauzaji) kama vijana wengi mnaokutana nao. Vijana wengi mnajisifia humu kukubalika kila mkitongoza ila kwa utafiti wangu mdogo ni kuwa wengi wenu mnawatongoza malaya, aidha kwa kujua au kutokujua, wengi ni kwa kutojua.

Mwanamke wa Kiafrika wa kawaida asiye malaya huwezi kumla kimasikhara hovyo kama wanavyoliwa malaya wa wazi wazi au wa kisiri siri, never ever!

Ni lazima aku challenge hata kama anakupenda, kwa mitihani iliyo ndani ya uwezo wako.

Binafsi nimeacha kutongoza kwa maneno muda mrefu sana enzi hizo nikiwa at my late 30's. Baada ya hapo ilikuwa ni nipe nikupe, au njoo nikulale nikulipe then jikatae (kama vijana wanavyopenda kusema).

Sasa jana mida ya jioni nilijaribu kufanya utafiti pia kukumbusha enzi zangu. Nikam target binti mmoja aliyekuwa na dada yake. Nikapata nafasi nikaanza kumuimbisha (hapo ilikuwa Mlimani City ila ni kwa nje).

Alinichangamkia ila nilipoanza kwenda deep akaanza kushangaa sana. Akaniuliza kuwa umri huu sina mke kweli? Nikadanganya sina. Akaniuliza kazi yangu na kulisifia gari langu. Nilijua alicholenga, nikawasikitikia mno vijana moyoni.

Akasema mbona ghafla sana, akawa anasita sita akidhani nataka kumtoa kafara. Nikachukua no yake ila kabla ya hapo aliniuliza maswali ya kijinga, naweza yaita hivyo mpaka nikawa bored.

Midomo ikawa inatetemeka kwa hasira mpaka akajishtukia. Sikusema lolote nikaingia garini nikaondoka haraka. Nilipofika nyumbani ile namba nikaitupa kwenye ndoo ya taka.

Nilipowaza niliwaonea huruma mno vijana wetu, wanapitia magumu sana.

NB: Maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza. Stori hii nimeileta ili kuonesha masikitiko yangu kwa vijana wa kiume juu ya mabinti wa sasa. Poleni mno vijana.
 
Babu siuseme tu kama jana ulikuwa na("Out work"),🤔Pia sio mbaya kama ukasema("Home work ilikuwepo au iliahirishwa"),😂
 
Sasa hivi ukitongoza unawekwa kwenye mizani uwezo wako wa kuhudumia.. akikuona hufiki bei hakupi jibu anakuzungusha ila hela zako anakula.. alafu anaenda kuzaa na muhuni mmoja hivi huku wewe ukijipiga kifua umemkamata
 
Wajipe moyo😂😂
 
Una gari na unahangaika kupima madem wa siku hizi, Jipigie zako honi tu hao hapo.... Ndo maana watu wa humu wakisema "Kataa ndoa" me nasema msiwapinge.
Vijana wana hoja mno.! Wanawake wa kuoa ni wachache sana. Naya feel maumivu yao ukizingatia nami nilikuwa kijana na nina kijana wa kiume.
 
Poleni sana vijana. Na ndiyo maana wengine wanaamua kufosi kinguvu mradi pesa ipatikane. Afya ya akili ya vijana inazidi kupromoka. Ku bet ni mbadala wa kazi. Hili linatakiwa liangaliwe kitaifa sasa.
 
Ndo maana single boys ni wengi mno...wako wanajichukulia sheria mkononi, wanatafuta malaya wakati wangetafuta mabint wakukua nao pamoja na baadae kuja kuoana...

Ndo maana vijana wengi hawataki kuoa wanaona bora tu wabaki hivyo hivyo...

Sema ukiwa mhuni unakula hao wadada na kuwazalisha na kuwatekeleza kuna kitu wanakitafuta hao mabinti na mara nyingi ukipata kwa wahuni...lakin ndo hivyo uishia kuzalishwa, kuliwa ovyo ovyo na hao hao wahuni na kuwaacha vijana decent kwa sababu ya ukosefu wa akili....
 
Poleni sana vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…