Vijana poleni sana, kutongoza ni kazi ngumu sana kwa miaka hii

Imemkuta Swahiba yangu mmoja hivi karibuni alipokutana na Ke Single Mother, alitongoza siku ya kwanza tu na siku ya pili akapigwa mzinga 100k ilihali Ke kadai hayuko tayari kimapenzi tokana na challenges alizopitia kwa Me wa awali aliyemzalisha.

Bloo kaweka MUTE ya jumla hadi sasa [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ke alitumia indirect language ya friends with benefits. Angeomba mzigo angepewa kisha ampe hiyo hela. Yaani huyo manzi anataka urafiki wa kulana ikibidi. Hope unanielewa hapo.!
 
Huyo ke alitumia indirect language ya friends with benefits. Angeomba mzigo angepewa kisha ampe hiyo hela. Yaani huyo manzi anataka urafiki wa kulana ikibidi. Hope unanielewa hapo.!
Jamaa alimseti wakutane mahali ampe hiyo 100k Demu kachomoa kuwa atumiwe tu wataonana siku nyingine.

Jamaa kadai Demu ni tapeli ambaye hataki "win win situation" [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…