Vijana poleni sana, kutongoza ni kazi ngumu sana kwa miaka hii

Vijana poleni sana, kutongoza ni kazi ngumu sana kwa miaka hii

Wazima wote?! Natumaini ni wazima.

Kama kichwa kinavyojipambanua, wanawake kama siyo mabinti wengi wa kitanzania na Afrika kwa ujumla wanaona fahari mwanaume kusumbuka kwa ajili yake hata kama ni 'for nothing'.

Mateso ya mvulana kwake binti ni 'pride', kutongoza si rahisi sana kama watu wanavyodanganyana mitandaoni, hasa kwa zama hizi za kileo.

Hapa sizungumzii kuwatongoza wanawake malaya(wauzaji) kama vijana wengi mnaokutana nao. Vijana wengi mnajisifia humu kukubalika kila mkitongoza ila kwa utafiti wangu mdogo ni kuwa wengi wenu mnawatongoza malaya aidha kwa kujua au KUTOJUA. Wengi ni kwa kutojua.

Mwanamke wa kiafrika wa kawaida asiye malaya huwezi kumla kimasikhara hovyo kama wanavyoliwa malaya wa wazi wazi au wa kisiri siri. 'Never ever'!.

Ni lazima aku 'challenge' hata kama anakupenda, kwa mitihani iliyo ndani ya uwezo wako.

Binafsi nimeacha kutongoza kwa maneno muda mrefu sana enzi hizo nikiwa 'at my late 30's'. Baada ya hapo ilikuwa ni nipe nikupe, au njoo nikulale nikulipe 'then' jikatae(kama vijana wanavyopenda kusema).

Sasa jana mida ya jioni nilijaribu kufanya utafiti pia kukumbusha enzi zangu. Nikam 'target' binti mmoja aliyekuwa na dada yake. Nikapata nafasi nikaanza kumuimbisha. NB: hapo ilikuwa Mlimani City ila ni kwa 'the outside'.

Alinichangamkia ila nilipoanza kwenda 'deep' akaanza kushangaa sana. Akaniuliza kuwa umri huu sina mke kweli? Nikadanganya sina.

Akaniuliza kazi yangu na kulisifia gari langu. Nilijua alicholenga, nikawasikitikia mno vijana moyoni.

Akasema mbona ghafla sana, akawa anasita sita akidhani nataka kumtoa kafara. Nikachukua no yake ila kabla ya hapo aliniuliza maswali ya kijinga naweza yaita hivyo mpaka nikawa 'bored'.

Midomo ikawa inatetemeka kwa hasira mpaka akajishtukia. Sikusema lolote nikaingia garini nikaondoka haraka.

Nilipofika nyumbani ile namba nikaitupa kwenye ndoo la taka.

Nilipowaza niliwaonea huruma mno vijana wetu, wanapitia magumu sana.
NB: maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza. Stori hii nimeileta ili kuonesha masikitiko yangu kwa vijana wa kiume juu ya mabinti wa sasa. Poleni mno vijana.
Imemkuta Swahiba yangu mmoja hivi karibuni alipokutana na Ke Single Mother, alitongoza siku ya kwanza tu na siku ya pili akapigwa mzinga 100k ilihali Ke kadai hayuko tayari kimapenzi tokana na challenges alizopitia kwa Me wa awali aliyemzalisha.

Bloo kaweka MUTE ya jumla hadi sasa [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Imemkuta Swahiba yangu mmoja hivi karibuni alipokutana na Ke Single Mother, alitongoza siku ya kwanza tu na siku ya pili akapigwa mzinga 100k ilihali Ke kadai hayuko tayari kimapenzi tokana na challenges alizopitia kwa Me wa awali aliyemzalisha.

Bloo kaweka MUTE ya jumla hadi sasa [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huyo ke alitumia indirect language ya friends with benefits. Angeomba mzigo angepewa kisha ampe hiyo hela. Yaani huyo manzi anataka urafiki wa kulana ikibidi. Hope unanielewa hapo.!
 
Huyo ke alitumia indirect language ya friends with benefits. Angeomba mzigo angepewa kisha ampe hiyo hela. Yaani huyo manzi anataka urafiki wa kulana ikibidi. Hope unanielewa hapo.!
Jamaa alimseti wakutane mahali ampe hiyo 100k Demu kachomoa kuwa atumiwe tu wataonana siku nyingine.

Jamaa kadai Demu ni tapeli ambaye hataki "win win situation" [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wazima wote? Natumaini ni wazima.

Kama kichwa kinavyojipambanua, wanawake kama siyo mabinti wengi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla wanaona fahari mwanaume kusumbuka kwa ajili yake hata kama ni 'for nothing'.

Mateso ya mvulana kwake binti ni 'pride', kutongoza si rahisi sana kama watu wanavyodanganyana mitandaoni, hasa kwa zama hizi za kileo.

Hapa sizungumzii kuwatongoza wanawake malaya (wauzaji) kama vijana wengi mnaokutana nao. Vijana wengi mnajisifia humu kukubalika kila mkitongoza ila kwa utafiti wangu mdogo ni kuwa wengi wenu mnawatongoza malaya, aidha kwa kujua au kutokujua, wengi ni kwa kutojua.

Mwanamke wa Kiafrika wa kawaida asiye malaya huwezi kumla kimasikhara hovyo kama wanavyoliwa malaya wa wazi wazi au wa kisiri siri, never ever!

Ni lazima aku challenge hata kama anakupenda, kwa mitihani iliyo ndani ya uwezo wako.

Binafsi nimeacha kutongoza kwa maneno muda mrefu sana enzi hizo nikiwa at my late 30's. Baada ya hapo ilikuwa ni nipe nikupe, au njoo nikulale nikulipe then jikatae (kama vijana wanavyopenda kusema).

Sasa jana mida ya jioni nilijaribu kufanya utafiti pia kukumbusha enzi zangu. Nikam target binti mmoja aliyekuwa na dada yake. Nikapata nafasi nikaanza kumuimbisha (hapo ilikuwa Mlimani City ila ni kwa nje).

Alinichangamkia ila nilipoanza kwenda deep akaanza kushangaa sana. Akaniuliza kuwa umri huu sina mke kweli? Nikadanganya sina. Akaniuliza kazi yangu na kulisifia gari langu. Nilijua alicholenga, nikawasikitikia mno vijana moyoni.

Akasema mbona ghafla sana, akawa anasita sita akidhani nataka kumtoa kafara. Nikachukua no yake ila kabla ya hapo aliniuliza maswali ya kijinga, naweza yaita hivyo mpaka nikawa bored.

Midomo ikawa inatetemeka kwa hasira mpaka akajishtukia. Sikusema lolote nikaingia garini nikaondoka haraka. Nilipofika nyumbani ile namba nikaitupa kwenye ndoo ya taka.

Nilipowaza niliwaonea huruma mno vijana wetu, wanapitia magumu sana.

NB: Maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza. Stori hii nimeileta ili kuonesha masikitiko yangu kwa vijana wa kiume juu ya mabinti wa sasa. Poleni mno vijana.
Idiot
 
Back
Top Bottom