Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ha ha ha haUwezekano wa kurudi upo Ila mtakuja na theory zingine apa kuwa ukikaa home akili inadumaa.
Hii inakuwaje?Kuna Makabila huwa yanawarudisha vijana wao nyumbani kwa njia za kiswahili
Wanawaongezea tena wazee majukumuMbaya zaidi wanawapelekea wajukuu wakae nao bila matunzo inasikitisha sana
Wewe uko mjini au kijijini? Tuanzie hapo.Wazee wameachwa katika mazingira magumu huko vijijini, unakuta mzee mpaka mgongo umepinda analima shamba kubwa kwa jembe la mkono, anachunga mifugo, anapasua magogo ya kuni n.k Ukiwauliza kuhusu watoto/vijana wao, wanasema wamekimbilia mjini kutafuta maisha, na wengine wanazaidi ya miaka 10 hawajarudi vijijini.
Sasa ndugu zangu huu sio uungwana, kumuachia mzee wa miaka 75 shamba alime kwa jembe la mkono, wakati wewe kijana mwenye nguvu uko huko mjini unazunguka zunguka tu.
Kwa hiyo nawasisitiza, vijana rudini vijijini mkawasaidie wazee
Je,anawasaidia wazee kujikwamua kiuchumi?Theory ya uchagani n kuwa last born ndyo atarithi nyumba Sasa sio tu kurith Bali atakaa apo nyumbani .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Makabila huwa yanawarudisha vijana wao nyumbani kwa njia za kiswahili
Yani yote inakuwa one family.Je,anawasaidia wazee kujikwamua kiuchumi?