Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Mtoto wangu mwiko kusoma medicine…haya mambo ya kufwata wanayotaka wazazi wetu yametu cost…kuwa dr jina kubwa hela ndogo…ninayoona dunia inataka watu wenye uelewa mkubwa wa mambo ya IT,electronics(ugunduzi)na air craft engineering na ma pilot huko
 
Bado kuna upungufu mkubwa sana wa madaktari hapa nchini. Hospital za wilaya, vituo vya afya, private hospital wengi ni CO. Kwa hiyo soko la ajira kwa MD bado ni kubwa
 
Hutaki acha..wenzako watauchukua...naona huzijui hospital private za bongo wewe..ndio mana nakuuliza upo bongo au wewe ni diaspora.


#MaendeleoHayanaChama
Kuna dispensary anafanya uncle wangu shift elfu 8 yeye CO[emoji16][emoji16][emoji16]...ipo pale kibaha mwendapole na shift ya usiku ni elfu 7.
 
Bado kuna upungufu mkubwa sana wa madaktari hapa nchini. Hospital za wilaya, vituo vya afya, private hospital wengi ni CO. Kwa hiyo soko la ajira kwa MD bado ni kubwa
Usichanganye uhitaji na soko,


Ukweli ni kwamba uhitaji ni mkubwa lakini waajiri hawapo, kwa lugha rahisi haina soko so far until other wise, the same applies to ualimu...uhitaji ni mkubwa ila ajira hakuna so hauna soko so far!
 
Kuna dispensary anafanya uncle wangu shift elfu 8 yeye CO[emoji16][emoji16][emoji16]...ipo pale kibaha mwendapole na shift ya usiku ni elfu 7.
Duuh, bora ujifunze skills zingine tu, ndio maana vijana wanamaliza chuo wanakua madalali wanapost kila siku bidhaa Instagram.
 
Siyo kwa trend hiyo anayoisema huyo.

Mkisema CO sawa lakini MD???
Nyie acheni kutisha vijana,
Waache wasome MD kama wana passion nayo.
Tunawahabarisha vijana ili wafanye informed choices.
 
Ndiyo maana wengine wanakuwa wanasiasa
Ukiangalia masilahi hii lazima kuna muda utaacha. We kuanzia saa moja na nusu asubuhi mpaka saa kumi unakutana na wagonjwa tu non stop
Mbaya zaidi hata huko glossary wakikutana wanaoengea wagonjwa haohao TU baaasi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]You may wish go and read...
Ningeiendelea ningekuja kubaka Kaka [emoji16][emoji16][emoji16]sema nlitembea nayo Balaaa Mpaka Sasa dah Ni balaaa [emoji28]
 
Back
Top Bottom