Mbona issue ndogo sana hiyo! Unakumbuka 50Cents alipotakiwa millions of dollars akatangaza kufilisika! Baada ya mahakama kukubaliana na hoja zake, akarudi Instagram aka-post zigo la madola! Walipomuibukia na kudai namna gani vp anatangaza kufilisika halafu anaonekana na madolari; akawaambia ni "Fake dollars, just for show off!"