Mbona issue ndogo sana hiyo! Unakumbuka 50Cents alipotakiwa millions of dollars akatangaza kufilisika! Baada ya mahakama kukubaliana na hoja zake, akarudi Instagram aka-post zigo la madola! Walipomuibukia na kudai namna gani vp anatangaza kufilisika halafu anaonekana na madolari; akawaambia ni "Fake dollars, just for show off!"
Kwa hiyo sheria, taratibu na namna ya ulipaji kodi vinafanana kwenye hizo nchi mbili? Sehemu nyingine ukitangaza umefilisika wanapiga mnada nyumba yako.Mbona issue ndogo sana hiyo! Unakumbuka 50Cents alipotakiwa millions of dollars akatangaza kufilisika! Baada ya mahakama kukubaliana na hoja zake, akarudi Instagram aka-post zigo la madola! Walipomuibukia na kudai namna gani vp anatangaza kufilisika halafu anaonekana na madolari; akawaambia ni "Fake dollars, just for show off!"
Sasa suala la sheria linatoka wapi hapo?! Issue hapo ni kuonekana anahesabu pesa ambazo mtu anaweza kusema zile hazikuwa pesa halali bali magarasa tu! Hoja ndo ipo hapo!! Hoja sio suala la kutangaza mufilisi!Kwa hiyo sheria, taratibu na namna ya ulipaji kodi vinafanana kwenye hizo nchi mbili? Sehemu nyingine ukitangaza umefilisika wanapiga mnada nyumba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokuwa hauna hela.mademu wanakuona sokwe.Maisha ni mafupi sana jaman yaan ukipata gap la hela piga kabisa usilembe....ufe na ufukara na mbiguni usiende hatari sana
Ahahahah pole mkuu
Uko sahihi katika muktadha huo. Ila point ni kwamba kuna sehemu ukusanyaji wa kodi sio rafiki Sana. Watoza kodi wataku harass na huo muda sijui wa mahakamani kesi na kusema ni hela bandia hawatakuwa na huo muda wa kusikiliza utetezi. Hivyo kufananisha ishu za US na kusema ni ishu ndogo sio sahihi. Wakikuamulia hutabaki na hata senti mbovu ya kurusha mtandaoni.Sasa suala la sheria linatoka wapi hapo?! Issue hapo ni kuonekana anahesabu pesa ambazo mtu anaweza kusema zile hazikuwa pesa halali bali magarasa tu! Hoja ndo ipo hapo!! Hoja sio suala la kutangaza mufilisi!
Lakini kama ndo unachohitaji; twende taratibu!!! Sijasema 50Cent kutangaza mufilisi ilikuwa ndo kigezo cha yeye kutolipa madeni! Kwa sheria za US, unapotangaza mufilisi na mahakamani ukakubaliwa; unatakiwa kujipanga na kulipa deni in installments kwa kipindi utakachopewa na mahakama! Kwa mfano 50Cent alipewa miaka 5! Na unafanya hivyo kukwepa kufilisiwa kwa biashara zako kulipia madeni!
Hata hao TRA sio wajinga wadai kodi kwa kigezo cha picha za mtandaoni! Kama ni pesa, wanafahamu pesa inakaa benki na huko ndiko atakumbana na Withholding Tax! Kama picha ile amepiga akiwa nje ya nchi, wanafahamu hakuna sheria duniani inayoruhusu mtu binafsi kusafiri na kiwango kikubwa cha cash. Hapo napo kumbe itabidi tena aipitishie bank kuileta Tanzania!Uko sahihi katika muktadha huo. Ila point ni kwamba kuna sehemu ukusanyaji wa kodi sio rafiki Sana. Watoza kodi wataku harass na huo muda sijui wa mahakamani kesi na kusema ni hela bandia hawatakuwa na huo muda wa kusikiliza utetezi. Hivyo kufananisha ishu za US na kusema ni ishu ndogo sio sahihi. Wakikuamulia hutabaki na hata senti mbovu ya kurusha mtandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wenzetu, hususani wale wasiofanya biashara ya pesa wanafunga kwa kutumia nini?!Ila wabongo bana kila pesa tunabana na balabendi daah
Tena Bonge la falaπππ mzee Mengi mbona ana show off kama hizi au kina manji?? wenye pesa awazionyeshi..ukiona mtu anaonyesha onyesha tuela twake ktk social medias ujue ni maskini mwenye ofu na anataka aiambia dunia kuwa anazo wakt ana kitu....Bill gates ajawai piga ata picha moja ameshika mahelaMsenge huyu , sasa huyu kima naye anapesa gani ??? . Wabongo bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wenzetu, hususani wale wasiofanya biashara ya pesa wanafunga kwa kutumia nini?!
Tena Bonge la falaπππ mzee Mengi mbona ana show off kama hizi au kina manji?? wenye pesa awazionyeshi..ukiona mtu anaonyesha onyesha tuela twake ktk social medias ujue ni maskini mwenye ofu na anataka aiambia dunia kuwa anazo wakt ana kitu....Bill gates ajawai piga ata picha moja ameshika mahela
na ukiona mtoto anaanza kujitetea kwa kulia jua huyo ndio kamaliza kopo lote la sukari.
Na ndio maana nimesema "wale wasiofanya biashara ya fedha" ingawaje kwa usahihi ningesema wale ambao wamechukua mzigo kutoka source ambayo ni wafanyabiashara ya fedha! Zile za Mayweather zinakuwa ama zimetoka bank moja kwa moja au zimepita kwenye mikono ambayo hawakuwahi kuzifungua na kuziingiza kwenye mzunguko! Lakini zikishaingia kwenye mzunguko, hapo rubber band haikwepeki! Dollar kwa mfano, zile Mond sijui ni picha ya Tanzania sema tu ka-post akiwa France au vipi! Lakini kama ni Tanzania, uwezekano wa kukuta dollar kwenye vikaratasi ni mdogo sana kwa sababu dollar nyingi zinazoingia mikononi mwa watu ni zile zilizotoka kwenye mzunguko!Ngoja nikamuulize maiweza maana za kwake zimefungwa kwa karatasi nzuri nzuri
Mzee "mwizi" huyu!!Mzee mengi yule mzee balaa anahonga hadi hewaView attachment 1042890
Akifanya Mond ni ufala akifanya myweather ni ujanja na kila MTU atamsifu ooh jamaaa ana hela...kiufupi watanzania tunaoneana wivu sana na tunachukiana....Tena Bonge la falaπππ mzee Mengi mbona ana show off kama hizi au kina manji?? wenye pesa awazionyeshi..ukiona mtu anaonyesha onyesha tuela twake ktk social medias ujue ni maskini mwenye ofu na anataka aiambia dunia kuwa anazo wakt ana kitu....Bill gates ajawai piga ata picha moja ameshika mahela
Haya muache kugombana sasa ntawachapaNdio nimeprove kua wewe ni mpumbavu
Maana Huyo uliyemjibu Mimi ninamfahamu,
Pumbavu
Get inspired or Hate>> By Floyd Mayweather!Tena Bonge la falaπππ mzee Mengi mbona ana show off kama hizi au kina manji?? wenye pesa awazionyeshi..ukiona mtu anaonyesha onyesha tuela twake ktk social medias ujue ni maskini mwenye ofu na anataka aiambia dunia kuwa anazo wakt ana kitu....Bill gates ajawai piga ata picha moja ameshika mahela