Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Habari zenu..
Ule msemo wa vijana taifa la kesho ulivyopelekea taifa kuwa na umasikini wa kutupwa..
Ebu fikiria ndugu yangu asilia kubwa ya watu hapa tanzania ni vijana,kwanzia miaka 15-45 then taifa linasema vijana ni taifa la kesho daah tulikuwa na viongozi wa ovyo sana.
Huwa najiulizaga hilo taifa la kesho litaanza lini?
Tumekaa tunaSubiri hilo taifa lianze ndo maana asilimia kubwa ya vijana wanasubiri msaada kutoka serikalini,utamsikia kijana anakuambia ningejiajiri sema sina mtaji..
Huwa nikisikiaga hivyo nacheka sana,wewe endelea kusubiri uwe na mtaji?ila tambua ukifikisha miaka 50 unaitwa mzee alafu ubaya sasa pesa hauna..
Vijana ni taifa la leo,hiyo kesho sisi hatuijui maana anayejua ya kesho ni MUNGU pekee..
Ndo hayoo