Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime.
Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini kushangaa magorofa nakupiga story za simba na yanga mnalalia vichipsi.
Mnaishi maisha magumu sana vijana. Njoo hapa kabuku tanga ninapori la hekali zaidi ya Mia mbili nitakukatia heka kumi Bure kabisa sitaki hata senti yako.