Vijana tokeni Kariakoo nendeni kijijini mkalime

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime.

Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini kushangaa magorofa nakupiga story za simba na yanga mnalalia vichipsi.

Mnaishi maisha magumu sana vijana. Njoo hapa kabuku tanga ninapori la hekali zaidi ya Mia mbili nitakukatia heka kumi Bure kabisa sitaki hata senti yako.

 
Safi sana, lazima tujengane na kukumbushana.

Wengi wao hukumbuka kulima wakiwa na 50+ umri ambao kiukweli unakuwa unabahatisha
 
Sio waende yaani warudi kwao vijijini wakalime maana wenyeji wa dar kilimo hawajui mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…