Vijana tuache kubweteka, tujiulize biashara yenye mtaji mdogo

Moderator fungia huyu scammer
 
Mm nawashangaa sana vijana hasa hawa wa dar, biashara ni watu na dar imejaa watu hivyo karibu kila kitu kinaitajika na sasa hivi kuna fursa ya kuuzia mahara popote bila kusumbuliwa na mamlaka, eti mtu anashindwa kufungua hata kijiwe cha kahawa alafu amekaa nyumbani kupiga mizinga , vijana acheni ubishoo fanyeni kaz
 
Mkuu unatakiwa uingie na mtaji wa kiasi gani ili iwe na tija.
 
Serious Mimi nimewahi osha magari kabisa na siombi mtu ela simple kabisaa
 
Mkuu unatakiwa uingie na mtaji wa kiasi gani ili iwe na tija.
Zero capital kama aliyoanza yeye, amini kuwa makampuni ya simu ukijituma vizuri ela ipo, tajiri wa pili Africa after dangote Mike adenuge afanya telecom hapa bongo Rostam Aziz wapo wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…