Vijana tuache kubweteka, tujiulize biashara yenye mtaji mdogo

Vijana tuache kubweteka, tujiulize biashara yenye mtaji mdogo

Download TALA app

Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!

Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.

Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu

Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6

Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini

Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini

Masharti ya malipo kuzingatiwa

MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Moderator fungia huyu scammer
 
Mm nawashangaa sana vijana hasa hawa wa dar, biashara ni watu na dar imejaa watu hivyo karibu kila kitu kinaitajika na sasa hivi kuna fursa ya kuuzia mahara popote bila kusumbuliwa na mamlaka, eti mtu anashindwa kufungua hata kijiwe cha kahawa alafu amekaa nyumbani kupiga mizinga , vijana acheni ubishoo fanyeni kaz
 
Hii biashara ya kusajili laini,kuuza vifurushi(voda na tigo) na Uwakala(Tigo Pesa na M-pesa) inalipa sana haswa ukituliza akili..kwasasa namiliki mtaji mkubwa kiasi na pia nimenunua pikipiki na kuitoa kwa mkataba wa mwaka mmoja NB:-nimeianza mwaka jana
Mkuu unatakiwa uingie na mtaji wa kiasi gani ili iwe na tija.
 
Tatizo siyo Mtaji, je una Courage ya Kufanya Hizo kazi za Mitaji midogo.. maana Biashara hizo wengi wa Vijana Mkishaziona Mnaona Mnajidhalilisha ,halafu biashara siyo lazima uanzishe wewe zingine zimeshaanzishwa so Join

1. Nenda Kaoshe magari na Pikipiki Maswala ya Kuelewana mtajuana na Boss mnalipanaje kwa Kila Gari unaloosha kama ni Tsh 2000 kwa kila Gari inamaana ukiosha magari 10 una 20 per day

2. Tembea Mtaani Na Bodaboda kama Day worker halafu Then tafuta Mkataba wa Boda unaendesha miezi kadhaaa baadae inakuwa yako

3. Tengeneza Vitafunwa Mfano Vitumbua Then Sambaza Kwenye Vibanda vya Vyakula kwa Bei ya Chini kidogo mfano kama kitumbua ni 300 wewe kawauzie 250...
Serious Mimi nimewahi osha magari kabisa na siombi mtu ela simple kabisaa
 
Mkuu unatakiwa uingie na mtaji wa kiasi gani ili iwe na tija.
Zero capital kama aliyoanza yeye, amini kuwa makampuni ya simu ukijituma vizuri ela ipo, tajiri wa pili Africa after dangote Mike adenuge afanya telecom hapa bongo Rostam Aziz wapo wengi.
 
Back
Top Bottom