Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Asante sana mkuu. Unajua mimi ni kati ya watu ambao ni ngumu sana kumuamini mtu, Vijana hawaaminiki to the point inaniwia vigumu sana kukamilisha mipango yangu hasa unapofika wakati nahitaji watu ili mambo yaende, unajikuta unatumia akili nyingi kufanya kitu kidogo. Hii inaniumiza sana.Ukisikia paaa[emoji2][emoji2][emoji2] pole sana mkuu
Maisha ya kutoaminiana ni magumu sana asee[emoji28][emoji28][emoji28]Umekutana na mzee Mtei?!
Yule wa usalama wa TaifaUmekutana na mzee Mtei?!
Huyo huyo....Yule wa usalama wa Taifa
Mtei Kama mtei [emoji1787][emoji1787]Umekutana na mzee Mtei?!
Hamna watu wana ukakasi kama ndugu mzee usipokaa vizuri lazima uchezee za uso za kutosha.....Tatizo nini ndugu