Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Weka instagram zao
Niwekee namba yako hapa next week nakupa investor password bro sio kwa ubaya ili uwashuhudie wengine Haya mambo ni skills ukiwa trader na sio gambler #forex is not a get rich quick scheme..sasa Mimi ni trader not a gambler utaona trader mzuri anavyo trade na kukuza account iwe kubwa
 
Aloooi print hii mstari iwekee lamination njoo hapa miaka .mitano ijayo ,unakutana na dogo 20-22 mshahara wako mwaka .ndo pesa yake ya bundle la .mwezi
Nina young bro angu 17yr zawadi pekee ntakayo mpa mapema akihit 18 mwakani ni kumfundisha financial ..markets, na kumpa kila kinachostahili,
Nina wahuni wameanza kucheza forex 2017 hadi leo tupo the same level tu,,
Kutafuta pesa za computer hzo,,, si bora uende garage ukapige spana za kufa mtu uchafuke na oil,, jasho likutoke, mikono ikomae ila at the end of the day,,, watoto wanakula na kwenda shule
 
Wapo wengi nawajua mimi, @pip_urs, @ sir_walies, @ fxbillionaretz n.k
Akiona IG atasema sio real wana fake nitampa namba ya sir wailles,na Vincent kiboye ambaye ndo fx billionaire tz huko IG na kuna Damian kijana wa mwanza hapo nampa namba ila asiende mbali nampa investor password next week Niki trade acc ndogo ya $100 kuikuza ili ajue ukiwa trader na sio gambler in the long run you are a winner
 
Unajichosha kuelezea uzuri wa hio FX kwanini nasema hivi

"Binadamu hupendi kuambiwa anachotaka kusikia...kabla hata hujasema mwenzio ana expectations zake"

Unaumiza kichwa kumuambia mtu kitu asichotaka kuelewa .Mimi nilishachaana na huu ujinga hata kwenye mambo mengi.


FX traders pigine pips kimya kimya acheni kelele nobody will understand you.

Take your ups and downs personally, silently wachieni mambo yao kama watavyokuachia mambo yako usijiumize kichwa
On point my good brother
 
S/R, TL, Indicators,Robot


Huwezi win hii gemu kwa hayo mavitu.

Basically wewe ulikuwa una trade against big movers [emoji1787][emoji1787] ndio maana unachezea vya uso kila siku

Umeweka ki dola 100 chako unataka price iende unavyotaka wewe wakati kuna big movers waweweka bilions of dollars

Mtaitukana sana FX ila ukweli ni kwamba mnafanya vitu msivyovijua
SMC + Liquidity
 
Ukienda Kufanya exhange sidhani kama Unapoteza hela zotee sasa forex ni sawa na kubet unaliwaaa zoteeee
Exchange huwezi kufanya kama utaona kabisa ukifanya hilo hupati faida kabisa. Mtu anaenda kubadilisha tsh. kuwa dollar siku dollar ikipoteza nguvu. The next few days imepanda anaenda kuchange kurudisha madafu yake yanakuwa yamebeba faida kupitia zile cents zilizo flactuate.

Ila electronically tumaini ni stop loss tu. Ikifikia hio point unakuwa umeliwa kidogo.
 
Akiona IG atasema sio real wana fake nitampa namba ya sir wailles,na Vincent kiboye ambaye ndo fx billionaire tz huko IG na kuna Damian kijana wa mwanza hapo nampa namba ila asiende mbali nampa investor password next week Niki trade acc ndogo ya $100 kuikuza ili ajue ukiwa trader na sio gambler in the long run you are a winner
Mzee kama mna telegram page naomba nipate skills zaidi
 
Bro wengine hawana hata Instagram ukitaka nakupa namba zao kabisa uwaulize kama forex imewatoa sehmu moja au hapana..ila pia next week ninafanya challenge yang personal kutoa dollar 100 kwenda somewhere nitakupa investor password uone nitakachofanya kwa kushuhudia ili uamini Haya mambo ni skills Tu
Achana nae huyu unataka umuoneshe mjinga kitu kinalipa kwanza hataki kujifunza inavoonekana usiprove chochote kwake acha apigwe tu maana kama umeona anazungumzia signal huyu ni mnunua signal
 
Back
Top Bottom