Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Weka instagram zao
Niwekee namba yako hapa next week nakupa investor password bro sio kwa ubaya ili uwashuhudie wengine Haya mambo ni skills ukiwa trader na sio gambler #forex is not a get rich quick scheme..sasa Mimi ni trader not a gambler utaona trader mzuri anavyo trade na kukuza account iwe kubwa
 
Nina wahuni wameanza kucheza forex 2017 hadi leo tupo the same level tu,,
Kutafuta pesa za computer hzo,,, si bora uende garage ukapige spana za kufa mtu uchafuke na oil,, jasho likutoke, mikono ikomae ila at the end of the day,,, watoto wanakula na kwenda shule
 
Wapo wengi nawajua mimi, @pip_urs, @ sir_walies, @ fxbillionaretz n.k
Akiona IG atasema sio real wana fake nitampa namba ya sir wailles,na Vincent kiboye ambaye ndo fx billionaire tz huko IG na kuna Damian kijana wa mwanza hapo nampa namba ila asiende mbali nampa investor password next week Niki trade acc ndogo ya $100 kuikuza ili ajue ukiwa trader na sio gambler in the long run you are a winner
 
On point my good brother
 
SMC + Liquidity
 
Ukienda Kufanya exhange sidhani kama Unapoteza hela zotee sasa forex ni sawa na kubet unaliwaaa zoteeee
Exchange huwezi kufanya kama utaona kabisa ukifanya hilo hupati faida kabisa. Mtu anaenda kubadilisha tsh. kuwa dollar siku dollar ikipoteza nguvu. The next few days imepanda anaenda kuchange kurudisha madafu yake yanakuwa yamebeba faida kupitia zile cents zilizo flactuate.

Ila electronically tumaini ni stop loss tu. Ikifikia hio point unakuwa umeliwa kidogo.
 
Mzee kama mna telegram page naomba nipate skills zaidi
 
Achana nae huyu unataka umuoneshe mjinga kitu kinalipa kwanza hataki kujifunza inavoonekana usiprove chochote kwake acha apigwe tu maana kama umeona anazungumzia signal huyu ni mnunua signal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…