maslulkat Senior Member Joined Feb 17, 2013 Posts 107 Reaction score 35 Jun 17, 2022 #121 Top TZ said: Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals! Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc Ukiingiza hela ndo utajua! Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako Click to expand... Kwa kuwa umeongelea kuhusu kupata signals hapo ndio utaliwa hadi ukauke find knowledge and use it, utafurahi mwenyewe.
Top TZ said: Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals! Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc Ukiingiza hela ndo utajua! Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako Click to expand... Kwa kuwa umeongelea kuhusu kupata signals hapo ndio utaliwa hadi ukauke find knowledge and use it, utafurahi mwenyewe.