Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira
Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha yako jambo ambalo sio la kweli moja kwa moja na hii yote ni kutokana na ile dhana ya uoga wa maisha iliyopo vichwani mwa jamii za Kitanzania ya kwamba mtu aliyeajiriwa na serikali lazima afanikiwe na ni mtu muhimu kuliko
Hakuna jipya huko, kataeni kuwa wafungwa vijana, kumbuka bodaboda tu ni kazi ambayo inapatia vijana wengi wasomi pesa za kutosha kuliko hata mwalimu wa shule yani mtu unangoja laki 5 kwa mwezi wenzako wanaipata kwa wiki moja
Kuhusu kiinua mgongo NSSF Sasa hivi kila mtu anaweza kujiwekea na sio tu waajiriwa wa serikalini vijana
AMKENI ACHENI UOGA, HAKUNA JIPYA KULE UNAENDA KUWA MTUMWA NA UTADAIWA NA KILA BENKI