Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda mwingi kwenye siasa na harakati za hovyo.
Baada ya viongozi wa vyombo vya dola kukimbia mahakamani ndio unawashauri vijana waachane na siasa? Ni nani huwa anakuja kwako kukuomba hela ya chakula?
Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda mwingi kwenye siasa na harakati za hovyo.
Serikali ya hovyo imeshindwa kushughulikia mambo ya msingi. Deni la taifa kwa Sasa limefika Trilioni 123, mfumuko wa bei na ajira. Mmebakia kufoka tu bila la maana. Halafu nendeni mahakamani mkatoe ushahidi.