Vijana tujikumbushe njia sita halali za kujipatia kipato

Vijana tujikumbushe njia sita halali za kujipatia kipato

Kategele

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,055
Reaction score
2,466
Nalipenda jukwaa Leo kwa kuwakumbusha vijana wenzangu njia rasmi unazoweza kujipatia kipato bila kuvunja sheria za Nchi.

1. Kujiajiri (Biashara, Kilimo, ufugaji na kubet)
2. Kuajiriwa.
3. Kurithi.
4. Mikopo.
5. Kupewa.

Ya Mwisho ambayo ni halali lakini siyo rasmi, ni KUOKOTA.

 
Mkuu kama kuna kitu ulitaka kukisema hivi ila umeamua kuzunguka Sanaa.
Anyway ujumbe umesomeka.
 
Kubet ni ajira isiyo rasmi nimeweza tengeneza million 50 kwa mtaji wa 10,000 kwa siku kumi tu,ila ni risk kubwa vijana siwashauri kuliwa kwingi kula padogo.
 
Hapo kwenye kuotoka, kupewa na kurithi duh..😂😂😂..
 
Back
Top Bottom