Vijana tujikwamue na umasikini tusitegemee Serikali

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,301
Reaction score
1,181
Kama vijana tupo serious kuna mambo kadhaa tunaweza kufanya;

1. Kufanya mobilization.Tuanzishe forum tukutane tuunde kundi tujisajili tukachukue mikopo halmashauri.Maneno bila vitendo ni sawa na bure.

2.Tutafute maeneo yenye rutuba tufanye kilimo chenye tija kwenye kilimo Serikali imeondoa tozo
sumbufu na watu wanapiga pesa kupitia kilimo tuwe serious, kama kuna mtu aliye serious na hii ishu ajitokeze kukaa kulaumu mtandaoni sio solution.

3.Tunaweza hata humuhumu kuanzisha forums kwa ajili ya kupeana mikakati ya kupiga biashara kukaa kulaumu Serikali tutalaumu hadi kuzeeka.

Kama tupo serious muda ni huu kama tunataka kuendelea kuwa walalamikaji JF basi utabaki kila siku kuilaumu Serikali.

Nawasilisha
 
Ni sahihi mkuu ila sometimes hawa watu wa halmashauri wanazingua sanaa.. Mfano me mwenyewe nina kikundi na tuliomba mkopo halmashauri since february till today hakuna lolote na hakuna dalili yoyote ya hawa mabwana kutoa mkopo (may be it is due to the fact that the council is poor)
 
Mkuu kuna ndugu yangu mmoja aliniambia kuna mda wanatoa kulingana na vyama.
Huyu ni mtu wangu wa karibu sana.
 
Ndio hayo yamo pia (maana nilifuatilia nkaona huo mchezo na nilipita kwenye njia zao humohumo)
 
Njlishangaa sana kusikia hii, halafu ni vyama vyoyte vinavyo unda halimashauri
 
Kama vijana tupo serious kuna mambo kadhaa tunaweza kufanya;

1. Kufanya mobilization.Tuanzishe forum tukutane tuunde kundi tujisajili tukachukue mikopo halmashauri.Maneno bila vitendo ni sawa na bure.

2.Tutafute maeneo yenye rutuba tufanye kilimo chenye tija kwenye kilimo Serikali imeondoa tozo
sumbufu na watu wanapiga pesa kupitia kilimo tuwe serious, kama kuna mtu aliye serious na hii ishu ajitokeze kukaa kulaumu mtandaoni sio solution.

3.Tunaweza hata humuhumu kuanzisha forums kwa ajili ya kupeana mikakati ya kupiga biashara kukaa kulaumu Serikali tutalaumu hadi kuzeeka.

Kama tupo serious muda ni huu kama tunataka kuendelea kuwa walalamikaji JF basi utabaki kila siku kuilaumu Serikali.

Nawasilisha
Tuchukue hatua sasa. Tunaanzaje?
 
Safi sana haya ndio mambo ya kujadili tukiwa kama vijana ni namna gani tujikwamue kiuchumi kwa sababu kuna msemo unasema; "Ukiona mzee anavaa SUTI uzeeni,ujue ujana wake aliutumia vizuri".
 
Kama vijana tupo serious kuna mambo kadhaa tunaweza kufanya;

1. Kufanya mobilization.Tuanzishe forum tukutane tuunde kundi tujisajili tukachukue mikopo halmashauri.Maneno bila vitendo ni sawa na bure.

2.Tutafute maeneo yenye rutuba tufanye kilimo chenye tija kwenye kilimo Serikali imeondoa tozo
sumbufu na watu wanapiga pesa kupitia kilimo tuwe serious, kama kuna mtu aliye serious na hii ishu ajitokeze kukaa kulaumu mtandaoni sio solution.

3.Tunaweza hata humuhumu kuanzisha forums kwa ajili ya kupeana mikakati ya kupiga biashara kukaa kulaumu Serikali tutalaumu hadi kuzeeka.

Kama tupo serious muda ni huu kama tunataka kuendelea kuwa walalamikaji JF basi utabaki kila siku kuilaumu Serikali.

Nawasilisha
Uanzishe forum ipi tena zaidi ya hii hii uliotumia kufikisha ujumbe?
 
hii mada nimeitembelea karibia mara 10 nione michango na ili deserve kuwa na page hata 100, ila hii ndio Tanzania na hawa ndio vijana.
Wewe mwenyewe unapita tu kuangalia wenzio wanachangia nini badala ya wewe kuchangia. It begins with You.
 
Vijana tunatamani sana kujikwamua ila tatizo tunakosa uthubutu na umoja.
Je mikopo tukishachukua tumeshapanga cha kufanya tayar.tunahitaji field survey ya kutosha na kujiridhisha juu ya jambo tutaloenda kuchukua mkopo.
 
mpaka sasa wewe umefanya nini ? halmashauri unazijua au unaskia tu kwenye vyombo vya habari kwamba wametoa mkopo kwa vijana na wewe unajaa upepo
 
Ni sahihi mkuu ila sometimes hawa watu wa halmashauri wanazingua sanaa.. Mfano me mwenyewe nina kikundi na tuliomba mkopo halmashauri since february till today hakuna lolote na hakuna dalili yoyote ya hawa mabwana kutoa mkopo (may be it is due to the fact that the council is poor)
Msisubiri mtafuniwe, kuna kipindi nilitamani kulima hela sina ikabidi nishawishi rafiki zangu tuanzishe kikundi cha watu 30....ambacho hisa 1 ni laki....to cut the story mpaka sasa tumesajili kikundi tunakopeshana mpaka milion 5 kwa riba ya asilimia 10 kwa miezi 6.

So nyie wenyewe anzeni hata mdogo kujichangia mfungue akaunti bank.
 
hii mada nimeitembelea karibia mara 10 nione michango na ili deserve kuwa na page hata 100, ila hii ndio Tanzania na hawa ndio vijana.
Wenzako pia walikuwa wanakusubiri wewe angalau utoe hata ushauri wa maana, badala yake umelaumu tu. Bora waliopiga kimya
 
hii mada nimeitembelea karibia mara 10 nione michango na ili deserve kuwa na page hata 100, ila hii ndio Tanzania na hawa ndio vijana.
Hehe utawkuta wamejaza page za kupeana like na mapenzi
 
Back
Top Bottom