SoC04 Vijana tujitunze afya zetu Kwa faida ya vizazi vyetu Bora

SoC04 Vijana tujitunze afya zetu Kwa faida ya vizazi vyetu Bora

Tanzania Tuitakayo competition threads

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo.

1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi ili kuondoa Yale magonjwa nyemelezi miilini mwetu.

2.tupime afya mara Kwa mara.hasa maradhi kama Figo kisukari na ukimwi haya magonjwa yanayo katisha ndoto nyingi na kumaliza vijana wengi nchini ni vizuri vijana tujikague mara Kwa mara ili kulinda taifa la kesho na kizazi Cha kesho.

3.tuache matumizi ya vilevi vikali na pombe Kali hata juisi zenye kemikali nyingi:afya ni mtaji wa maskini yeyote yule anae jitafuta kitu muhimu kutunza afya ili tuje kutimiza ndoto zetu mbeleni.vijana tutunze afya Kwa gharama yoyote ndoto zetu zote zinategemea afya Bora na sio kingine

4.tuachane na ngono zembe.hizi ngono zembe humaliza sio nguvu za kiume tu pia zinau ndoto kiimani ila pia zinau ndoto kiujumla hasa kama utapata magonjwa ya zinaa huwezi fanya kitu kikubwa Tena sababu utapoteza nguvu za muhimu kufanyia jambo lako muhimu kijana tunza afya utimize ndoto zako kubwa.

5.tuache kupambana na matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume hovyo na kutengeneza shape:siingilii uhuru wa mtu ila nguvu za kiume unazo zitafuta Leo toka umeanza kuzitafuta umezipata za kudumu lazima vijana tukimbie zinaa tule lishe Bora tujitunze haya makesi ya nguvu za kiume yatapungua na kutokuwepo.pia tuna hangaika na maswala ya nguvu za kiume sana sababu hatutaki kupambana na ndoto zetu za kesho kijana jitunze nguvu za kiume unazo zitafuta una uhakika na hayo madawa na usalama wa afya yako miaka ijayo.

6.tuache matumizi ya madawa ya kulevya bangi,mirungi na matambuu:kijana ambae ni taifa la kesho hajengwi na vilevi sababu akiwa mtumiaji mzuri atabakia kuwa tegemezi sana Kwa familia mpaka taifa badala ya kuwa msaada atageuka kuwa mzigo kijana achana na mambo ya madawa haya ili tupate taifa lenye vijana wenye afya Bora na wachapa kazi

Vitu hivi vichache kati ya vingi vilivyopo vinavyo tuhusu vijana tukiachana navyo tukapambana na kazi na ndoto zetu tuta tengeneza taifa Bora lenye watu wapambanaji na wenye kulijenga vizuri taifa lijalo ila mambo mazuri yote yatafanyika na kijana mwenye afya Bora na imara asie goigoi

Hitimisho: vijana ni wakati wetu kuzitunza afya zetu Kwa nguvu zote ili tuje kuwa na taifa lenye vijana wenye nguvu wasio goigoi kuwa mizigo ya watu wengine na yaifa Kwa ujumla.kesho Bora ya kijana inajengwa na kijana mwenyewe anae jitunza Leo na afya yake.
 
Upvote 7

Yaani tunakubaliana kabisa, mi mwenyewe huwasisitizia vikana kupima mambo yote katika msingi wa ki-afya. Wawe wanajiuliza kuwa je hiki ninachokifanya kinaleta afya? Au la?

Bila afya mtu anakuwa mtumwa wa dawa fulani. Inasikitisha. Mungi atusaidie kwa kweli
 
Swadkta
 
Back
Top Bottom