Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya.
Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa vyama. Nashuku kijana wangu aliajiriwa wizara ya nishati pale Dodoma mwaka 2019.
Ajira 5000 za waalimu zimeyeyukia hewani vijana wamesahaulika hawakumbukwi tena na imepelekea vijana wengi wengi kuwa na hasira kwa serikali yao.
Mhe Magufuli fanya jambo kwa vijana hata inafahamika hautagombea tena ili angalau vijana uwape faraja na ustahimilivu wa maisha. Vijana wananyanyasika mtaaani au kwa kuwa hawana wa kuwasemea. Hebu tujatibu kuangali mambo machache yaliokuwepo kipindi cha nyuma wakati upinzani ukiwepo.
1. Kipindi upinzani ukiwepo nchi nzima police walionekana wanafanya kazi kwasababu walikuwa wanapambana na upinzani kuliko wahalifu wa hii nchi.
2. Wakuu wa mikoa wengi wao walionekana wanafanya kazi kwasababu upinzani ilikuwepo na upinzani ulifanya wasikae chini kila siku kazi yao ilikuwa kuwakwamisha wabunge wa upinzani wale wabunge wa upinzani walikuwa wakipeleka maendeleo china na sio Tanzania.
3. Wakuu wa wilaya kazi yao ilikuwa kupambana na wakuu wa wapinzani ili kumlizisha bwana mkubwa wakawa wanasahau kufanya majukumu yao na kwanini wako pale na wanachokifanya pale ofisini na kila siku ilikuwa ilikuwa kupambana na wabunge au madiwani wa upinzani vurugu tupu utadhani sio Watanzania.
4. Vijana wa UVCCM kazi ilikuwa vitisho kwa vijana au kwa wabunge ikiwemo kuwatishia kuwaua au kuwadhuru wapinzani utadhani wapinzani ni Waganda.
Kwasasa hivi mnamtisha nani?
Mlikuwa mnasema wapinzani tunawachelewesha, hebu tuonyesheni hiyo miradi ambayo mmefanya mpaka sasa?
Lumumba penyewe hali ngumu hakukaliki imebaki vijana ni kupigana mizinga tuuu