Vijana tumesahaulika

Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa vyama. Nashuku kijana wangu aliajiriwa wizara ya nishati pale Dodoma mwaka 2019.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Lumumba penyewe hali ngumu hakukaliki imebaki vijana ni kupigana mizinga tuuu
Hili bila shaka lina ukweli. Wengi kwa sasa wanapatikana hata humu jukwaani kwa kuvizia!! Yaani mwenye walau pumzi kidogo ni Mzee Mgaya johnthebaptist !

The rest huenda hata hela ya bundle tu hawana! Walidhani kuwadhulumu wapinzani, kutawaletea ahueni! Wamesahau hata wafanyakazi walifanyiwa hivyo hivyo!

"Msubiri uhakiki wa watumishi hewa na wafanyakazi wenye vyeti feki upite, halafu mtaboreshewa mishahara yenu" Baada ya huo uhakiki uliojaa usumbufu mwingi, kilichofuatia kilikua ni kuongeza makato ya Bodi kwa 15% kutoka 8% ya awali badala ya mshahara!

Na ni mwaka wa sita huu sasa. Hakuna cha nyongeza ya mshahara, wala kupanda daraja!😟 Naamini huu uongo atakua ameutumia pia huko Lumumba. Mwisho wa siku, Uvccm wanalia tu na kusaga meno!! Hata ile buku 7 haipo tena! Kaazi kweli kweli.
 
Hata apewe miaka 100 hawezi ongeza wafanyakazi watachezea uhakiki Hadi mwisho.Kwa uchumi gani aliokuza KILA sekta imekufa chali thus bize kubuni tozo mpya za kodi kwa vyanzo vilevile.A failure is a looser, uchumi sio jeshi.
 
Ahahaahhaha we jamaa bwana, eti kupigana mizinga
 
Kiukweli vijana wa CCM ndio wana hali mbaya walizoea vya kunyonga sasahivi vya kuchinja hawawezi, hili la kupiga mizinga ndio umemaliza kabisa mimi huwa wakija nawaambia mlichagua kushika adamu mimi nilichagua kushika hela kila mtu ashike alichochagua.
 
Awamu ya tano na sita wamepata Urais ki papatu papatu.. Yaani kama kurusha shilingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…