Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

Mfumo uliopo hautambui wala kuthamini nguvu na mchango wa vijana.
 
Mfumo uliopo hautambui wala kuthamini nguvu na mchango wa vijanaAme
Hapo kwenye vijana wana maliza oxygen ndipo palipo niacha hoi
Jamaa ametuchoka kabisa.
 
Kijana piga kazi Kwa bidii , kua muaminifu na kua na nidham ya pesa , acha anasa hakika utatoboa fasta ,

Ukitaka. Kuishi Maisha ya hofu na ya kusuasua kua mwizi , nasisitiza usiibe Cha mtu mwisho wake sio mzuri
Kwa hio yale matrillion ya Serekali yanayoibiwa mpaka kwenye ripoti ya CAG wezi wakubwa ni wazee au vijana wa zamani?
 
Watuue tuu basi, kwa sababu kila tunacho fanya ni kibaya kwao, kama kale kabibi Kamekaa serikalini kwa zaidi ya miaka 30 kanakula mishahara tuu alafu kana waambia vijana wakajiajili, shenziiiiiiiiiiii Sana yule bibi pumbavu zake kabisa 😡😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…