Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

Dawa ya hao wajinga nikuikimbia nchi kwa wingi kama wanaigeria na wakenya na mataifa mengi ya magharibi, mwa Africa .
 
Waseme yote ila hilo la kulelewa na wamama wasirudie tena kuliongea, hivi tukiacha mashangazi haya tutapata utamu kama wa mashangazi.
 
Prof Morsi alifanya research na kusema ikifika 2030 africa kutakuwa na comflict kubwa kati ya wazee na vijana, vijana wanao ingia kwenye soko la ajira kwa mwaka ni maratano ya wazee wanaostaafu hivyo itafika muda lazima cheche zipige, ndo utasikia vijana mjiajiri anae waambia kaajiriwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…