Vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Mzee Jakaya Kikwete na Edward Lowassa


Angalia kwa upana zaidi.

Katika huo “ustaarabu” wao katika harakati zao za kisiasa, hawa wawili ni miongoni mwa vinara walioasisi na kuneemesha ufisadi mkuu wa kimfumo ndani ya serikali na CCM yake.

Enzi zao ndipo mikono ya Ikulu ilikuwa ikionekana wazi katika dili kubwa kubwa nchini. CCM iligeuzwa chombo cha wafanyabishara hasa watu kati (middle men/agents of the state) kufanya yao bila bugdha na fursa kadhaa za uongozi wa kisiasa serikalini zikawa kwa ajili ya wawezeshaji, washikaji na michepuko.

Richmond ilikuwa dili yao wote, ila Msoga, aliyekuwa smart zaidi kisiasa, akaona fursa kumuangushia jumba bovu mwenzake akose sifa za kugombea uRais awamu inayofuata. Kama roho mbaya vile.

Hicho kitabu kikiandikwa, itapendeza zaidi kikipewa title ya: “The Classic Partners in Crime”.
 
Haya yote ni majangili
 
Masikini jeuri? Mwenyewe unathibitisha kuwa hapa Tanzania, huwezi kuwa masikini jeuri.

Wenye dola yao wakiamua hata hako kafremu kako unakopigia vimishe vyako wanaweza kukapiga nyundo kavunjikie mbali hadi ukawapigie magoti.

Btw nini hasa ilikuwa MOTIVE yako kupambania ubunge wa Kawe dhidi ya gwiji Halima akiwemo mshindani “mnajimu” Gwajima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…