Vijana tupunguze kukaa vijibweni asubuhi asubuhi tukafanye kazi

Vijana tupunguze kukaa vijibweni asubuhi asubuhi tukafanye kazi

Vyuma vimekaza kila sehemu Hakuna nafasi za ajira Wala michongo ya kupigia mtonyo.

Bora twen'zetu vijiweni tu tukacheze draft mixer kuongelea timu za mpira huko Ulaya😥
 
Vyuma vimekaza kila sehemu Hakuna nafasi za ajira Wala michongo ya kupigia mtonyo.

Bora twen'zetu vijiweni tu tukacheze draft mixer kuongelea timu za mpira huko Ulaya😥
 
Mkuu usijaribu kuhisi kila anae kaa kijiweni hana kazi anza utafiti wa kina ujiridhishe

Wapo ambao kazi zao wanafanya kwa nyakati tofauti na ufanyavyo wewe

Ulimwengu sasa ume badilika katika namna ya utafutaji

Jitahidi usijiingize katika kundi la wakaa vijiweni kama huna kazi
Maana utaishia kuwaona wenzio wakicheka tu bila wasiwasi
Wakati wewe hujui hata furaha ya uongo utaipata wapi.

Ila wazo zuri hasahasa kama uzi ungekua na kichwa cha habari Kinacho hamasisha vijana wanao kaa vijiweni pasi na kazi wanapaswa wajitume

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1. wengine kazi usiku, mchana anajichanga kijiweni baadaye anarudi anatia mbonji kidogo giza likitinga anaingia mzigoni

2. wengine wana nyumba za urithi, anakunja benjamins kadhaa kila mwezi

3. wengine ni ma-dalali, wazee wa mshindo

nk
 
Vijiwe vingi vimejaa madalali kwa uchumi wa sasa hata ukitaka mke unapata kupitia dalali wale wanajua mambo yote ya mtaa .
 
Back
Top Bottom