Vijana tupunguze kukaa vijibweni asubuhi asubuhi tukafanye kazi

Vijana tupunguze kukaa vijibweni asubuhi asubuhi tukafanye kazi

VIJIBWENI SIO KUBAYA TATIZO CHANGAMOTO YA MITAA ILIVYOPANGIKA ALAFU VIJIBWENI KUNA MCHANGA SANA KIPINDI CHA MVUA MAJI HAYATUAMI
 
na kama unamaanisha vijiweni basi hebu badili mtazamo wapo watu wanafanya kazi kwa masaa wengine wamejiajiri kwahyo kumkuta kijiweni isiwe sababu ya kuona hana jambo la kufanya ukikua utaelewa kila mtu ana mpango wake na hakuna anaekufa njaa hapo ndo ushangae
 
Back
Top Bottom