Vijana tusipitwe na hizi fursa!!

Hii kimara au ubungo unayoizungumzia ina shida ya maji ni ya mkoa gani?? Kama dar utakuwa hujafanya research vzr.maji kimara sahizi yanatoka kila siku.na hapa nipo sehem wanaunga bomba lingine lipitishe maji mtaani.kiufupi kwa sasa kimara hakuna shida ya maji
 
mkuu Kibajajitz , kwahiyo saahivi maeneo yote ya Ubungo na Kimara shida ya maji is no more? ofkoz mimi sio mkazi wa maeneo hayo, na nilikuwa nataka nikaifanye hiyo biashara ya kuuza maji ya kisima kwenye maeneo hayo.
 
Ni hakuna kiongozi na mradi unazidi endelea kupelekwa soon kimara yote itakuwa masaki 24hrs maji.mimi naishi huku kimara.hata zile gari za kuuza maji hazipo mtaani.wale wafanya biashara wa maji sahizi imekula kwao wamebaki na matank yao tu.
 
ahsante mkuu kwa taarifa hiyo. Nimekusoma vyema. Basi hiyo biashara ishakuwa ngumu hapo.
 
Ata pale tannaries wananunua kwenye kiwanda changozi,
Pia kuna kibaha kwa mwarabu (along moro-dar road).
Mwanza (Dit ila sina uhakika now )

Wananunua kwa kiwango gani na bei gani mkuu.
 
sawa
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji123] [emoji123]
 
Ndugu yangu usithubutu

Mkuu hiki kilimo cha greenhouse umewahi kukifanya? Kama jibu lako ni ndio hebu tueleze kwaufupi changamoto ulizokutana nazo mpaka udiriki kuwaonya watu wasikifanye!
 
Mkuu hiki kilimo cha greenhouse umewahi kukifanya? Kama jibu lako ni ndio hebu tueleze kwaufupi changamoto ulizokutana nazo mpaka udiriki kuwaonya watu wasikifanye!
Ndio, na mpaka nasema hvyo ujue Nina uhakika, but kama mwaniona muongo dumbukizeni hizo million 8-10 then mtuletee mrejesho

Maybe Kwa wale watakao lima maeneo yenye baridi ndo wanaweza kuambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…