Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Mkuu,Ndio, na mpaka nasema hvyo ujue Nina uhakika, but kama mwaniona muongo dumbukizeni hizo million 8-10 then mtuletee mrejesho
Maybe Kwa wale watakao lima maeneo yenye baridi ndo wanaweza kuambulia
Mkuu na mm tutafutane bana nmeipenda hii biasharaHilo dili la dhahabu nimependa. Nitafuatilia
Ni PM namimi huyo mtaalamu nataka nifanye hii kitu ya nyanyaNgoja nimtafute hapa mkuu, Nitaku PM muwasiliane.
Mkuu nipime unipe ujanja wa fursa ya kusafirisha mazao kutoka kijijini kwenda mjiniMkuu ubarikiwe sana ntumie Pm namba zako nikutafute, kuusu Biashara ya Ngozi huwa nasafirisha sana mazao kutoka vijijini kuja mijini sasa huwa nakutana na Ngozi Nyingi sana sikujua kama ni dili
Himo apa kuna jamaa ana safirisha ngozi kutoka mikoa ya kati ana leta apa then anasafirisha kenya.Himo sehemu gani hapo mkuu, sokoni pale?
Ni kweli mkuu...ata huyu jamaa anaefanya biadhara ya ngozi hua naona anasafirisha usiku mara nyingi.Hiyo namba tatu hiyo ichunguze vizuri biashara ya ngozi inasumbua kwa sasa baada ya kupigwa marufuku ngozi isitoke nje ya inchi
Mkuu naomba tujuzane kuhusiana na hii fursa pia ya kusafirisha mazo kutoka kijijini kuja mjinimkuu, nami niruhusu nikuPM unipe ABCs kuhusu biashara ya mazao kutoa vijijini to mijini.
-Kaveli-
Mkuu mimi nakaa Himo .wakenya wananunua ssna hizi ngozi. Ila cjaifuatilia kwa undani kujua zaidi.Mkuu Zillion natoa shukrani za dhati kwa niaba ya wana Jf wote.
Hapo kwenye biz ya ngozi,binafs niliwahi fanya biashara ya ng'ombe wa nyama pale V'nguti na Ukonga na ngozi mbichi nlikua napata 10,000 mpk 15,000 ss ila sijawahi kuifatilia
Huko Himo wakenya wananunuaje?
Na una taarifa zozote kuhusu biz ya zabibu nchini Kenya na miji yake?
Fanya kufatilia basi bro uje utupe mrejeshoMkuu mimi nakaa Himo .wakenya wananunua ssna hizi ngozi. Ila cjaifuatilia kwa undani kujua zaidi.
Kuna mzee mmoja ana godown lake hua anapokea ngozi na kusafirisha kenya
Poa mkuu .Fanya kufatilia basi bro uje utupe mrejesho
Pa1 sana mkuu,,naona tuko wote kwnye mida ya wazee wa kupaa na vyombo vya asiliPoa mkuu .
maana ndicho kilichobakia kwasasaPa1 sana mkuu,,naona tuko wote kwnye mida ya wazee wa kupaa na vyombo vya asili
greenhouse ukiisimamia vizuri na ukapata wataalam wa kukusaidia ushauri inalipa sana....uwe na taarifa sahihi mfano aina ya zao , aina ya udongo mzuri , n.k.........usikurupukeNdio, na mpaka nasema hvyo ujue Nina uhakika, but kama mwaniona muongo dumbukizeni hizo million 8-10 then mtuletee mrejesho
Maybe Kwa wale watakao lima maeneo yenye baridi ndo wanaweza kuambulia
mkuu... naomba funguka RoI ktk hiiMchanganuo
Green house ya mita 8 kwa 24
Gharama inafika mill 8 mpaka 9 kutegemea na eneo ulipo.
Material ni vyuma maalum vya kutengeneza frem, Nylon ya kufunika juu(kama paa), nyavu ya kuzungusha kuzunguka gh, nyaya za kubania wavu, nyaya za kufunga ndani kwaajili ya kushika mazao, tank la maji Lt 1000, drips za kutandaza kwenye matuta kwaajili ya umwagiliaji na zege kwaajili ya kusimika nguzo