Vijana tusipitwe na hizi fursa!!

 
nina lorry ya 3t tu ungane tufanye hiyo kazi ya maji mkuu
 
Ukiwa na laki saba unapata gram 10 halaf we unauza sh.ngapi?hebu tueleweshe
 
Ukiwa na laki saba unapata gram 10 halaf we unauza sh.ngapi?hebu tueleweshe
Mbona nimeeleza vizuri tu mkuu

1gm mgodini 70000
Sokoni 86000 mpaka 93000
Faida 86000-70000=16000 au
93000-70000=23000
Kulingana na ubora wa dhahabu(purity).
 
Mkuu shukran kwa mawazo yako mazuri ya kujenga Taifa.sasa mkuu mm natafuta soko la MBAAZI nitapata wapi kwa bei mzuri?
 
Xaxa mkuu unapozungumzia biashara ya forex kua ndio ina pay ...mbona watu kubao wana lose money tena sana tu.
Biashara ya forex trading sio uhakika kwamba ukingia ndio utapiga pesa bablai
 
M
Mkuu biashara ya ngozi bana ni kama magendo nsikufiche
Ila dizain flani ina pay naona kwa maan akwa uku kwetu hua wananunua sana wakenya
 
Uzi mzuri huu , dhahabu bahi inachimbwa sehemu gani?
 
Mkuu ushaanza kula matunda ya Forex nini?
 
Ndio, na mpaka nasema hvyo ujue Nina uhakika, but kama mwaniona muongo dumbukizeni hizo million 8-10 then mtuletee mrejesho

Maybe Kwa wale watakao lima maeneo yenye baridi ndo wanaweza kuambulia
Kusema watu wasifanye nadhani sio sahihi sana.Ebu weka details za kutosha na changamoto zipi ulikutana nazo katika kilimo hiki.Noted. Learn how to make mistake and how to manage risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…