luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Heri ya mwaka wa 2021
Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi.
Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona kumbe ana tatizo la kiakili (mwezi mchanga) juzi kati wife wake akakutana na hiyo changamoto basi jamaa alijilaumu sana kwa maamuzi ya kukurupuka.
Basi nikasema nilete bandiko hapa vijana kabla hujakurupuka kuoa, make sure unamsoma mrembo wako.