luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Acha izo nduguMimi kukwambia tu ndo umeona uje kunitangaza huku ...😕
matatizo yameumbiwa binadamu Sisi. asichukulie kujilaumu Kwa sababu eti cjui Instagram hapana.Acha izo ndugu
Mwaikibaki online dating ina changamoto ikiwemo iliyo mkuta swaiba wanguAcha kuchanganya mambo, issue ni kukutana online au kutokujua vizuri hali ya afya matatizo etc ili awe tayari ku accomodate? Miezi 8 mingi sana uchumba! Mbona watu wanakutana harusini wanaanza uchumba? Unajua kwenye sociology sehemu ambapo mahusiano yaweza kuanzia? Shuleni msibani sokoni kanisani etc cha msingi mkishakutana kueni wazi kila mmoja amfahamu mwenzie kwa ndani! Usikariri mambo karne hii!
kwahio mke kuwa mwezi mchanga kawaidaKawaida sana hiyoo
Kawaida mpaka siku amshone shoka la kichwa channel zikiwa zimevurugikakwahio mke kuwa mwezi mchanga kawaida
Dah haya mambo yasikie tu kwa wenzio omba yasikukutekwahio mke kuwa mwezi mchanga kawaida
Ah wee miezi nane michache sana...huwezi kuwa umwgundua mengi ya muhimu.Acha kuchanganya mambo, issue ni kukutana online au kutokujua vizuri hali ya afya matatizo etc ili awe tayari ku accomodate? Miezi 8 mingi sana uchumba! Mbona watu wanakutana harusini wanaanza uchumba? Unajua kwenye sociology sehemu ambapo mahusiano yaweza kuanzia? Shuleni msibani sokoni kanisani etc cha msingi mkishakutana kueni wazi kila mmoja amfahamu mwenzie kwa ndani! Usikariri mambo karne hii!
ila siku zingine si mzima kabisaDah haya mambo yasikie tu kwa wenzio omba yasikukute
Yapila siku zingine si mzima kabisa
Heri ya mwaka wa 2021
Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi.
Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona kumbe ana tatizo la kiakili (mwezi mchanga) juzi kati wife wake akakutana na hiyo changamoto basi jamaa alijilaumu sana kwa maamuzi ya kukurupuka.
Basi nikasema nilete bandiko hapa vijana kabla hujakurupuka kuoa, make sure unamsoma mrembo wako.
Mleta Mada. Hili jambo kama limekufurahisha kimoyo moyo? Badala ya kumuombea unaleta kejeli? Ujue matatizi ya Dunia ni duara leo ni Yeye kesho ni Wew... Gongo uliokunywa mkesha naona bado hayjatoka mwilini.Heri ya mwaka wa 2021