Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mechi imekwisha tumelala 2 kwa 1Vp kwan ngapi ngapi?
hapana mkuu; kucheza ugenini si mchezo; pia waganda ni wazuri sanakwa nini tuwe tunapihgwa sisi tu?vijana wamelewa sifa nini
Kigi Makasi kwa shuti la mbali...kutoka katikati ya uwanjaNgoli letu kafunga nani?
Tutawatoa hao walugaluga wa Uganda, bao la ugenini ni Lulu, vp bao leo kafunga striker yupi wa timu machachari Africa TP Mazembe? I mean Thomas Ulimwengu ama Mbwana Ali Samatta?
Usimba na Uyanga katika timu ya Taifa HaufaiMkuu naona unawaamini sana hao Ulimwengu na Samatta kwenye kufunga kuliko wengine.
Kigi Makassi amefunga mabao ma3 ktk mechi mbili alizochezea Vijana Stars