Vijana unganeni mjisajili mpate misaada na mikopo kirahisi mfanye miradi ya ujasiriamali mpate pesa

Jambo la msingi hapa tupeane mawazo ya namna ambavyo tunaweza jishuhulisha tukapata angalau riziki
Ila tatizo la walio wengi wanapenda wafanikiwe wenyewe hapo ndipo penye changamoto
Ushauri wangu tupeane mawazo ya jinsi ya kujikwamua naamini hata kwa mtaji wa shilingi elfu 10 unaweza fanya jambo endapo tuu utakuwa na wazo sahihi la nino chakufanya
 
Huu uliofanya nao ni ubinafsi, hayo uliyoyaeleza wengi wanayajua...tatizo ni KUJUA donors hao ndiyo tabu, mtu akipata chanzo anakaa kimyaaaa ili aendelee kuvuta yeye, anasahau kwamba pesa hizo ziko nyingi na yeye hawezi kuzimaliza kwa kupewa milioni sita! Share hapa, funding sources watu waandike. Na vijana kuweni serious, kuomba vigranta vidogovidogo ni ngumu sana kukupeleka mpali kwa wakati! Hivyo vijimilioni kumi ngai hata mtu kwanguvu zake tu anaweza kuvirize ndani ya mwaka!
 
Mkuu mng'ato hizi ni aina za upigaji tu, hapa anaandaa mazingira ya kushawishi watu then mwisho wa picha awaachie maumivu for good.
Aisee ni kweli kabisa mkuu wangu kuna kila dalili ya utapeli hapo mkuu.
 
Tatizo mtu anatoa ushari alafu anaficha baadhi ya taarifa. Huo ni uhuni kama sio kutafuta njia za kuibia watu
 
Naona mleta uzi hana hamu, kapotea na kupotea
 
Mfano huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…