Ni katika kuwakumbusha wale waliosahau na kuwatahadharisha wale tu wasiojua kuwa vijana muwapo vyuoni kuweni makini usiingie katika suala la kufanya mapenzi na kijana mwenzio huku ukijiaminisha huyu ni mdogo na akakwambia hajawahi kufanya mapenzi kabla ukaingia kwenye hatari.Nawakumbusha kuwa wapo wale waliozaliwa wakiwa tayari na maambukizi ya virusi vya Ukimwi na sasa wako vyuoni kuweni makini.
Nanyi vijana wapendwa mlio katika kundi hili la waliozaliwa na maambukizi tafadhali wajalini wenzenu usimwambukize mtu kwa makusudi
Ni hilo tuuu
Nanyi vijana wapendwa mlio katika kundi hili la waliozaliwa na maambukizi tafadhali wajalini wenzenu usimwambukize mtu kwa makusudi
Ni hilo tuuu