Vijana vyuoni kuelekea siku ya Ukimwi duniani, mwakumbushwa kuwa wapo waliozaliwa na maambukizi ya VVU

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,188
Ni katika kuwakumbusha wale waliosahau na kuwatahadharisha wale tu wasiojua kuwa vijana muwapo vyuoni kuweni makini usiingie katika suala la kufanya mapenzi na kijana mwenzio huku ukijiaminisha huyu ni mdogo na akakwambia hajawahi kufanya mapenzi kabla ukaingia kwenye hatari.Nawakumbusha kuwa wapo wale waliozaliwa wakiwa tayari na maambukizi ya virusi vya Ukimwi na sasa wako vyuoni kuweni makini.
Nanyi vijana wapendwa mlio katika kundi hili la waliozaliwa na maambukizi tafadhali wajalini wenzenu usimwambukize mtu kwa makusudi
Ni hilo tuuu
 
Asante kwa tahadhari
 
Asante kwa taarifa, hakina ni htry sana...
 
Nashindwa kuelewa yaani nikiona mada inayohusu UKIMWI natetemeka sana duh
 
Tens ni warembo na wanavutia. Huwezi amin.
 
Ukiwa Baharia, kuchomoka salama vyuoni huwa ni neema ya Mungu tu. Maana Ukimwi nje nje sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…