Ok mi niko naelekea sky lounge pub kula ndovu na washkaji. KaribuSafi mkuu! i'm going to game lodge Near maji ya chai n' usa river, wan' see some wild animals...
Ni kweli ila mie naona wengi wanakunywa viroba!Vijana wengi arusha wanapenda sana kutumia vileo, haswa bia, wine n.k! kwa aliyekaa na vijana hawa, atadhibitisha hapa! pia mi naona pombe inawapa kukosa umakin kwa baadhi ya mambo! ni wajasiri na wakipunguza pombe ujasiri wao utaongezeka. hi! A-town
Ni kweli , hadi inasikitishahapo kwenye pombe, ndyo pakubwa, coz vijana wadogo sana(16 to 30 years old)washakuwa addicted with alcohol
Ni kweli ila mie naona wengi wanakunywa viroba!
Bana wewe, kwani hivyo vinauzwa ghali? Afu mie dini hainiruhusu kumnunulia mtu pombe, labda azam juice!Jamani umewahi wanunulia wangapi?
sample size yako ilikuwa ngapi?ulihoji wanaohudhuria bar au nyumba na vijiwe mbalimbali?utafiti wako uliufanyia arusha au nchi nzima?kama ni nchi nzima tutajie mkoa uliofuatia na ule wa mwisho kabisa!Siyo wote! kwenye 10 utakuta 3 au 4 ndyo hawatumii pombe. idadi inayobakia wanahusika.