MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 667
- 743
Vijana wengi arusha wanapenda sana kutumia vileo, haswa bia, wine n.k! kwa aliyekaa na vijana hawa, atadhibitisha hapa! pia mi naona pombe inawapa kukosa umakin kwa baadhi ya mambo! ni wajasiri na wakipunguza pombe ujasiri wao utaongezeka. hi! A-town
RIP jamaa!Aisee kuna ajali hapa maji ya chai, ts too bad jamaa kagongwa na pikipiki then gari ikampitia, he is dead and gone! thats what happen here currently...alazwe pema!!
Mkuu Filipo, naamini na wewe upo arusha city.
Ooh! safi mkuu, kula happy...
pamoja sana mkuu! Nimejionea tofauti ya kusini na kaskazini...
Nipo mitaa ya sekei. Hapa nipo nyuma ya Ndovu!
vijana wanatafuta sana pesa kwa njia nyingi..na nyingi wanamalizia kwenye ma alcohol