I'm unknown here mkuu, and what i do is just an' observation! na nilichokiona ndicho nilichoandika, swala la kuwanunulia ni jingine! soma comment nyingine hapo juu...
Dar ndiyo inayoongoza kwa wanywaji wa pombe na mirungi, ukiangalia idadi ya mateja Dar imezidi kuliko Arusha.
Vijana wa Arusha wengi wanapenda sana gombaaaa na mavirobaa kama njia ya kutoa lock au kujifariji.
Pombe kama Ndofyu kwa mujibu wa Erickb52 haina shida kama unaimudu.
Kwahiyo ulitaka nikwambie nimewanunulia 10 au 20 ili wanasiasa wasizitumie hizi fikra? mkuu, unaishi kwa kuwaogopa wanasiasa?
Vijana wengi arusha wanapenda sana kutumia vileo, haswa bia, wine n.k! kwa aliyekaa na vijana hawa, atadhibitisha hapa! pia mi naona pombe inawapa kukosa umakin kwa baadhi ya mambo! ni wajasiri na wakipunguza pombe ujasiri wao utaongezeka. hi! A-town
Yap! itegemee kura yangu! naifikia mashine yangu muda c mrefu..
pamoja sana mkuu! Nimejionea tofauti ya kusini na kaskazini...
Umeona eeh? Huku tunatafuta pesa na matumizi twayajua... biya na nyama choma kwa sana! Kule kwenu nadhani ni wavivu wa kuzisaka, hence matumizi hawajui
Mkuu kura yako ni muhimu sana kwangu.....