Vijana wa ccm hapa JF njoni tutete

NRNE ndio salamu ya sasa kwa wapenda haki na watanganyika walio timamu kiakili na kimwili.
Watu tunataka kumfurusha huyu mkoloni toka nchi jirani chadema mnakimbia mapambano. Haya kaeni bila uchaguzi tuone kama mkizimkazi ataachia Tanganyika.
 
Watu tunataka kumfurusha huyu mkoloni toka nchi jirani chadema mnakimbia mapambano. Haya kaeni bila uchaguzi tuone kama mkizimkazi ataachia Tanganyika.
Muda utasema , heshima ya Tanganyika itarudi tu.

Watu sio wajinga wote.
 
makamanda wa cdm tujumuike kucheki kavideo hapo chini, ni muhimu sana
Sipo tayari kupiga kura katika mazingira yaliyopo kwa sasa nataka nione taifa ambako mtu akishinda anashangiliwa hata na waliompinga ili tu kumwonesha kuwa wametii denokrasia huru ya kiuchaguzi
 
chama cha mapinduzi ni chama dola milele hiyo inajulikana kote ulimwenguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…