Vijana wa ccm hapa JF njoni tutete

Hivi mnapoaema "No reform, No election" mnamaanisha mama Samia aendelee kuwa rais wa milele mpaka reform ifanyike au? Kama ni hivyo,hii kitu imeanzishwa kiakili au kuna ujinga ndani yake?
 
Aisee mambo moto ,yalianza kama manyunyu, sasa inaanza kunyesha, watawala wasipo zinduka ,tunaweza kwenda kwenye mafuriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…