DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
tulikuwa brain washed tuone umaskin (unyonge) kuwa ni sifa ya kutambia.Nimeamini tulikua tumepandikizwa roho za kichawi, za kutaka wote tuwe fukara.
Tushukuru Mungu kwa kutuletea mama mkombozi wetu.
Usizungushe maneno, mlikuwa hamtaki kukosolewa. Angalia mlivyotesa watuna kutia hasara kubwa serikali kwenye korosho.BAVICHA na yule puppet wa UFIPA mmesahau mlikuwa pinga pinga wa miradi ya maendeleo
Hiko kazazi kibaya mbona tayari kipo kimejaa tele kule Lumumba kwa hisani ya hayati jpm?tungeenda 10 yrs kizazi cha ajab sana kingetokea huko mbele kwa mentality hii
uko right. kingesambaa tungekuwa na nchi ya ajab mbeleni.1Hiko kazazi kibaya mbona tayari kipo kimejaa tele kule Lumumba kwa hisani ya hayati jpm?
Labda useme kingesambaa
Tulikuwa tunapinga udhalimuBAVICHA na yule puppet wa UFIPA mmesahau mlikuwa pinga pinga wa miradi ya maendeleo
Nitamshangaa Maza akipuuzia ishu ya Ben8 Lissu na Azory.Ati watampiga Lissu Sindano ya Sumu sasa hivi wameanza kulialia ati tusameheni hahah
Wanajipanga namna watakavyoendana na mdundo wa Madame President Mh.Samia Suluhu Hassan.Anawapiga mule mule kwenye mshono wa kusifia uharamia wa Jiwe.Hiko kazazi kibaya mbona tayari kipo kimejaa tele kule Lumumba kwa hisani ya hayati jpm?
Labda useme kingesambaa