instagramer
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 215
- 492
Habari wanaBodi..
Mara kadhaa Kila ninapofatilia mijadala humu, hasa Jukwaa la siasa, hua napata ukakasi kidogo na tashtwiti ya kujua Nini hasa kipo nyuma ya pazia..
Ukiangalia Jukwaa la siasa hoja nyingi Sana zinazowekwa humo ni spana za kupinga "mazuri ya viongozi wetu" katika kutuongoza. Lakini Kwa hoja nzito nzito kweli kweli..
Swali ambalo najiuliza mara zote ni kwamba mitandao ya kijamii imejaa vijana wapinzani zaidi au ni "sisi" CCM hatujawaelimisha vijana wetu kua mstari wa mbele kututetea "majukwani" hasa hapa JF.. Maana kwa tathmini ya haraka haraka (sio rasmi) katika Kila hoja kumi, nane zote ni kinyume na mbili tu ndio pro.. Na wanaojibu kati ya watu kumi, Tisa kinyume na mmoja tu ndio pro..
Shida Nini Wazee?