Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
Watamgawana kuanzia kucha,meno hadi nywele.
 
Kila Mtu Na Anacho Kipenda Ndio Uhuru Huo Tusilazimishane Wote Kumchukia Mtu Kisa Wewe Unamchukia Mitano Teeeeeeeeeeeee
 
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?

Ipo tofauti ya vijana wa CCM na hizi viumbe:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…