Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera za ACT-Wazalendo na kubandika picha za Mwinyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZEC hawawezi kukemea hiyo kitu, kama mwenyekiti wao wa chama anaanzisha mkutano sehemu ambayo kuna mkutano wa Lissu unategemea nini!.ZEC kemeeni hili kama kweli mpo huru
Tena za kizamani, wametumwa kuichokoza ACT ili ZEC ipate sababu ya kuifungia kampeni.Siasa za kishamba sana hizi
Wanangoja ACT wa react.NEC hapo imepiga kimya
NEC CCMWanangoja ACT wa react.
Matangazo ya CCM yabandikwe na ACT.Mnatafuta kick matangazo mbandike nyie halafu msingizie CCM kutafuta kick media!
Nazani unamaanisha ZEC.NEC hapo imepiga kimya