Vijana wa CHADEMA oneni aibu mmeshindwa kumpambania Lissu

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Vijana wa CHADEMA mlimjaza upepo Lissu akajaa sasa maumivu ya kuwekwa kabatini yanauma anatoa milio nyinyi mnakimbilia kwenye Keyboard na Kutukana Serikali Tundu Lissu ana Kesi na anatakiwa kutulia gerezani mpaka pale itakapokwisha kwanza majaji

Pia wana schedule ya kusikiliza mashauri Mengine hivyo atulie tuu mpaka pale mashahidi watakapokwisha na ataambiwa kama

Ana kesi ya kujibu au laah!

Tundu Lissu anazozea Ukonga vijana mmeshindwa kumpambania TAL kauli yake ya kukinukisha anaijutia mpaka leo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Uns frustrations zinakusumbua!
Lakini ana pointi. Mmebaki kufurahia vifo na kudakia dakia agenda za kipumbavu mitandaoni mmemsahau Lissu!!

Nyie ndo aliwategemea kukinukisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…